TANZANIA MWENYEJI MKUTANO WA SHIRIKISHO LA KIMATAIFA LA HUDUMA ZA ANGA NA UONGOZAJI NDEGE #CANSO KANDA YA AFRIKA

Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA)Hamza S. Johari
Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mkutano wa Shirikisho la Kimataifa la Huduma za Anga na Uongozaji Ndege #CANSO kanda ya Afrika. Zaidi ya wajumbe 200 wanatarajiwa kushiriki mkutano huo wa siku tano, utakaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere(JNICC), kuanzia Septemba 3 hadi 6, 2019.
0 comments:
Post a Comment