RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AZINDUA RADA MBILI ZA KUONGOZEA NDEGE ZA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE NA UWANJA WA NDEGE WA KIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na viongozi
mbalimbali akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Rada mbili za kuongozea Ndege
katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Julius Nyerere na Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa KIA katika Sherehe zilizofanyika katika Uwanja wa Ndege
wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini
Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe kuashiria uzinduzi wa Rada mbili za kuongozea Ndege katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa KIA katika Sherehe zilizofanyika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Viongozi wengine kwenye picha ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Isack Kamwelwe, Mkurugenzi Mkuu wa TCAA Hamza Johari pamoja na Balozi wa Ufaransa hapa nchini Fredrick Clavier.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza kabla ya kuzindua
mfumo wa Rada za kuongozea Ndege katika kituo cha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
wa Mwalimu Julius Nyerere
Mkurugenzi Mkuu wa TCAA Hamza Johari akielezea utekelezaji wa mradi kabla ya uzinduzi

Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na kamati ya maandalizi ya hafla hiyo
0 comments:
Post a Comment