WATAALAMU WA USAFIRI WA ANGA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA DAR ES SALAAM
Wataalamu wa Usafiri wa Anga katika jumuiya ya Afrika Mashariki wanakutana nchini kwa siku tatu (3) kujadili namna ya kuboresha Usafiri wa Anga katika nchi wanachama.
November 20, 2019 |
No Comments |
0 comments:
Post a Comment