Thursday, November 21, 2019

MKUTANO WA WATAALAMU WA USAFIRI WA ANGA AFRIKA MASHARIKI UNAOFANYIKA DAR ES SALAAM WAFUNGULIWA RASMI

Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA), Vallery Chamlungu akifungua mkutano wa kamati ya uwezeshaji usafiri wa anga Afrika Mashariki unaofanyika jijini Dar es Salaam.


  Washiriki kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki wakifuatilia mkutano huo.
 Washiriki wakiwa katika picha ya pamoja.


Wataalamu wa Usafiri wa Anga kutoka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, wanakutana nchini kwa siku tatu (3),Novemba 20-22,2019 kujadili changamoto za usafiri wa Anga, Tanzania ni Mwenyekiti. #TCAA ikishirikiana pamoja na wadau wa Usafiri wa Anga nchini wameandaa Mkutano huo.

0 comments:

Post a Comment

DIRECTOR GENERAL

Please Share This Site